Tuesday, 25 October 2016

Uhai ni kitu adhimu na kinachofurahiwa na kila kiumbe, "Mfa maji haishi kutapatapa" haya ndiyo maneno ambayo wahenga wetu walituambia. Pichani ni Nyani akionyesha kutunisha msuli kwa chui baada ya mbio ndefu zisizo na mafanikio,. Ndipo akaamua kumkabili Chui uso kwa uso na kuonyesha kufoka Kwa hasira ili asiweze kudhuriwa na chui. Lakini ni nani ajuae hatma yao?,Hayo...
Tangu Nchi ya Tanganyika kupata uhuru 09/12/1991 na hata baaada ya muungano na zanzibar na Kuunda Tanzania hadi leo hii Tukiwa katika serikali ya awamu ya tano Marais Woteimekuwa ikijitokeza Herufi M. 1. Mwl.Julius K.Nyerere 2.  Ali Hassan Mwinyi 3.  Benjamin W.Mkapa 4.  Jakaya M.Kikwete 5.  John P. Maguful...
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa Millard, alimuanzisha shule akiwa mdogo sana na hatimae kumaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 12 tu, akamaliza form...

Monday, 24 October 2016

Mfalme wa Morocco Mohamed  (vi) amewasili  nchini tanzania 23/10/2016 katika ziara yake ya siku tatu. Katika ziara yake hiyo ameahidi kufanya  mambo makubwa mawili, 1.Kujenga Msikiti mkubwa Dar Es Salaam 2.Kujenga Uwanja wa michezo Dodoma Tanzania imetia saini mikataba 21 na Nchi ya Morocco ikiwa ni Kuonyesha Uhusiano mkubwa uliopo kati ya Nchi...
KARIBU KATIKA KURASA HII Kurasa hii inatoa muongozo kwa Anayetaka kuangalia kama Muombji wa Mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kama amepata mkopo au la! BONYEZA HAPA KUANGALIA MAELEKEZO: Ukishaingia utakuta viboksi vinne i/kiboksi cha kwanza chagua aina ya Index number kama ni S au P ii/kiboksi cha pili andika namba ya shule ambayo Muombaji...

Sunday, 23 October 2016

Kunguni ni mdudu wa ajabu sana.                              Mdudu huyu hupenda kuishi maeneo waishipo binaadamu kwa kuwa chakula chake kikubwa ni damu y a binaadamu. Wadudu hawa hupenda kuishi vitandani na kujificha katika  vipenyo vidogovidogo vya kitanda,au sehemu zinazofanana na hizo. ...
Misitu ni miongoni mwa rasilimali muhimu kwa binadamu hapa duniani. Misitu ni mkusanyiko wa miti mingi katika eneo kubwa la kijiografia.Miti hii huweza kuwa ya asili au iliyopandwa na binaadamu.Misitu ina faida kubwa katika maisha yetu ya kila siku kwa njiaq moja au nyingine karibu kila siku tunatumia bidhaa za misitu. zifuatazio ni ...

Saturday, 22 October 2016

Tulinde mazingira yetu Mazingira ni rasilimali muhimu sana kwa maisha ya viumbe wote duniani. Mazingira ni nyenzo inayotuwezesha kuendesha maisha yetu. ...
Kadhia ya kucheleweshwa kwa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu,imekuwa kikwazo kikubwa kwa wanafunzi wa elimu ya juu. ...

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA