Saturday 22 October 2016

Tulinde mazingira yetu
Mazingira ni rasilimali muhimu sana kwa maisha ya viumbe wote duniani.
Mazingira ni nyenzo inayotuwezesha kuendesha maisha yetu.



Imesemwa sana na bado yataendelea kusemwa juu ya umuhimu wa kutunza na kulinda mazingizra yetu. Mazingira ikiwa ni rasilimali nyeti tuliyobarikiwa na Muumba ni wajibu wa kila mmoja wetu kuyalinda kwa Manufaa yetu na manufaa ya kizazi kijacho.
Kuchafua na kuharibu mazingira ni kujihatarishia uhai wetu sisi wenyewe.


ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA