Katika ziara yake hiyo ameahidi kufanya mambo makubwa mawili,
1.Kujenga Msikiti mkubwa Dar Es Salaam
2.Kujenga Uwanja wa michezo Dodoma
Tanzania imetia saini mikataba 21 na Nchi ya Morocco ikiwa ni Kuonyesha Uhusiano mkubwa uliopo kati ya Nchi hizi mbili.
Tayari Wameshakubaliana kuwa askari 150 wataenda Morocco kuchukua Mafunzo..