Showing posts with label JE WAJUA?. Show all posts
Showing posts with label JE WAJUA?. Show all posts

Tuesday, 25 October 2016

Tangu Nchi ya Tanganyika kupata uhuru 09/12/1991 na hata baaada ya muungano na zanzibar na Kuunda Tanzania hadi leo hii Tukiwa katika serikali ya awamu ya tano Marais Woteimekuwa ikijitokeza Herufi M.
1.
Mwl.Julius K.Nyerere


2.
 Ali Hassan Mwinyi


3.
 Benjamin W.Mkapa


4.
 Jakaya M.Kikwete


5.
 John P. Magufuli

Sunday, 23 October 2016

Kunguni ni mdudu wa ajabu sana.
                             Mdudu huyu hupenda kuishi maeneo waishipo binaadamu kwa kuwa chakula chake kikubwa ni damu y a binaadamu. Wadudu hawa hupenda kuishi vitandani na kujificha katika  vipenyo vidogovidogo vya kitanda,au sehemu zinazofanana na hizo.

MCHINGA TV

MCHINGA TV

HABARI NA MAKALA

TANZANIA YETU

  • KIGOMA
  • SINGIDA
  • MJINI MAGHARIBI
  • PEMBA KASKAZINI
  • PEMBA KUSINI
  • UNGUJA KASKAZINI
  • UNGUJA KUSINI
  • ARUSHA
  • KILIMANJARO
  • MARA
  • BUKOBA
  • MWANZA
  • SIMIYU
  • GEITA
  • SHINYANGA
  • RUVUMA
  • RUKWA
  • NJOMBE
  • MBEYA
  • IRINGA
  • MOROGORO
  • DODOMA
  • TANGA
  • DAR ES SALAAM
  • PWANI
  • MTWARA
  • LINDI

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA