Showing posts with label HABARI. Show all posts
Showing posts with label HABARI. Show all posts

Monday, 24 October 2016



Mfalme wa Morocco Mohamed  (vi) amewasili  nchini tanzania 23/10/2016 katika ziara yake ya siku tatu.
Katika ziara yake hiyo ameahidi kufanya  mambo makubwa mawili,
1.Kujenga Msikiti mkubwa Dar Es Salaam
2.Kujenga Uwanja wa michezo Dodoma

Tanzania imetia saini mikataba 21 na Nchi ya Morocco ikiwa ni Kuonyesha Uhusiano mkubwa uliopo kati ya Nchi hizi mbili.

Tayari Wameshakubaliana kuwa askari 150 wataenda Morocco kuchukua Mafunzo..


KARIBU KATIKA KURASA HII


Kurasa hii inatoa muongozo kwa Anayetaka kuangalia kama Muombji wa Mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kama amepata mkopo au la!

BONYEZA HAPA KUANGALIA

MAELEKEZO:
Ukishaingia utakuta viboksi vinne

i/kiboksi cha kwanza chagua aina ya Index number kama ni S au P

ii/kiboksi cha pili andika namba ya shule ambayo Muombaji aliitumia wakati wa kuomba Mkopo Mfano 1237.Jina la shule litajitokeza mara tu baada ya Kuweka namba yashule.

iii/kiboksi cha tatu andika namba yako ya Mtihani Mfano 0098

iv/kiboksi cha nne andika mwaka wa kuhitimu kidato cha nne ulioutumia wakati wa kuomba Mkopo. Mfano 2013.

1,Kwa baadhi ya simu inaweza isionyeshe kipengele cha kuingiza taarifa zako ili uweze Kujua kama umepata mkopo au la!

HIVYO:Unashauriwa kutumia Kompyuta kwa Matokeo yalio mazuri.
  KARIBU SANA MCHINGA BLOG, TUNAKUJALI.

Saturday, 22 October 2016

Kadhia ya kucheleweshwa kwa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu,imekuwa kikwazo kikubwa kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

MCHINGA TV

MCHINGA TV

TANZANIA YETU

  • KIGOMA
  • SINGIDA
  • MJINI MAGHARIBI
  • PEMBA KASKAZINI
  • PEMBA KUSINI
  • UNGUJA KASKAZINI
  • UNGUJA KUSINI
  • ARUSHA
  • KILIMANJARO
  • MARA
  • BUKOBA
  • MWANZA
  • SIMIYU
  • GEITA
  • SHINYANGA
  • RUVUMA
  • RUKWA
  • NJOMBE
  • MBEYA
  • IRINGA
  • MOROGORO
  • DODOMA
  • TANGA
  • DAR ES SALAAM
  • PWANI
  • MTWARA
  • LINDI

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA