Sunday, 23 October 2016

Misitu ni miongoni mwa rasilimali muhimu kwa binadamu hapa duniani.
Misitu ni mkusanyiko wa miti mingi katika eneo kubwa la kijiografia.Miti hii huweza kuwa ya asili au iliyopandwa na binaadamu.Misitu ina faida kubwa katika maisha yetu ya kila siku kwa njiaq moja au nyingine karibu kila siku tunatumia bidhaa za misitu. zifuatazio ni



faida 10 tunazozipata kutoka katika misitu.

1.MISITU HUTUPATIA MVUA:Si rahisi kuelewa moja kwa moja kwa mtu asiyesoma jiografia , lakini ukweli nim kwamba misitu huchangi kwa kiasi kikubwa katika upatikanaji  wa mvua. Mvua nayo inma umuhimu mkubwa katiak Maisha yetu ya kila siku,kwa kutupatia Maji safi na kukuza mazao mashambnani. Ukosefu wa mvua kwa muda mrefu hupelekea  Ukame na Baa la Njaa katika jamii.

2.MISITU HUPATIA VIFAA VYA UJENZI

3.Misitu ni Maskani ya Wanyama ambao kutokana nao binadamu hujipatia manufaa mbaliimbali kama vile nyama,ngozi n.k

4.Misitu hutunza vyanzo vya maji.

5.Misitu huleta hewa safi ya oksijeni na husaidia kupunguza Kabonidaioksaidi(hewa mkaa) kutoka katika Mazingizra tunayoishi.

6.Misitu hutoa Madawa mbalimbali yanayotumika Kutibu Magonjwa mbalimbali,

7.Misitu hutupatia malighafi mbalimbali kama vile  Magogo kwa ajili ya kutengeneza karatasi.

8.Misitu ni Vivutio vya Watalii Hivyo ni chanzo cha mapato ya fedha za kigeni.

9.Misitu husaidia sana katika kukinga upepo,Na hivyo huepusha athari zaidi ya Upepo mkali.

10.Misitu  Huifanya ardhi ishikamane na hivyo kuzuia mmomonyoko wa udongo.

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA