Monday 24 October 2016

KARIBU KATIKA KURASA HII


Kurasa hii inatoa muongozo kwa Anayetaka kuangalia kama Muombji wa Mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kama amepata mkopo au la!

BONYEZA HAPA KUANGALIA

MAELEKEZO:
Ukishaingia utakuta viboksi vinne

i/kiboksi cha kwanza chagua aina ya Index number kama ni S au P

ii/kiboksi cha pili andika namba ya shule ambayo Muombaji aliitumia wakati wa kuomba Mkopo Mfano 1237.Jina la shule litajitokeza mara tu baada ya Kuweka namba yashule.

iii/kiboksi cha tatu andika namba yako ya Mtihani Mfano 0098

iv/kiboksi cha nne andika mwaka wa kuhitimu kidato cha nne ulioutumia wakati wa kuomba Mkopo. Mfano 2013.

1,Kwa baadhi ya simu inaweza isionyeshe kipengele cha kuingiza taarifa zako ili uweze Kujua kama umepata mkopo au la!

HIVYO:Unashauriwa kutumia Kompyuta kwa Matokeo yalio mazuri.
  KARIBU SANA MCHINGA BLOG, TUNAKUJALI.

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA