Tuesday, 25 October 2016

Uhai ni kitu adhimu na kinachofurahiwa na kila kiumbe,
"Mfa maji haishi kutapatapa" haya ndiyo maneno ambayo wahenga wetu walituambia.
Pichani ni Nyani akionyesha kutunisha msuli kwa chui baada ya mbio ndefu zisizo na mafanikio,. Ndipo akaamua kumkabili Chui uso kwa uso na kuonyesha kufoka Kwa hasira ili asiweze kudhuriwa na chui.
Lakini ni nani ajuae hatma yao?,Hayo ndiyo maisha ya wanyama.

Related Posts:

  • Nyani anapoamua Kutunisha msuli kwa chui Uhai ni kitu adhimu na kinachofurahiwa na kila kiumbe, "Mfa maji haishi kutapatapa" haya ndiyo maneno ambayo wahenga wetu walituambia. Pichani ni Nyani akionyesha kutunisha msuli kwa chui baada ya mbio ndefu zisizo na m… Read More

ZILIZO HOT

MCHINGA BLOG

  • NI YA KWAKO
  • JIVUNIE
  • HAMASIKA
  • BURUDIKA
  • ELIMIKA
  • HABARIKA